Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina
yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo
la Makongo, baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet yenye namba za
usajiri T 838 BKB, wakati wakiwa katika Pikipiki yao yenye namba za
usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana
asubuhi, Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika
ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment