"ONLY IN TANZANIA!
Yapo Maajabu mengi
sana...Ila Maajabu Makuu Yaliyopo Tanzania ni Haya hapa;
1.
Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo
kwanza
anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of
Torts" then anapata SUP...U can Only find in
TZ....afu mwalimu wake ni advocate inakuwaje akimpelekea kesi Jaji wa aina
hiyo??
2.
Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949
wanaopata
Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70
ambazo
zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali
inasema
haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila
wanazo
za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.
3.
Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema
hela
inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni
iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya US$ 500,000
kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7, You Can Only find in
TZ.
4.
Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa
la
7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli
Watakuwa
hawajui kufanya nini??...You Can Only Find In Tanzania
5.
Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala
mashindano)
wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12 You can Only find in
Tanzania......
6.
Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then
unaomba
Umlinde (refer to Dr. Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu
anaomba
kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania..
7.Only in Tanzania serekali inaweza kabisa kulipisha watu ushuru wa sticker ya
fire Bila kuuliza kama una huo mtungi wa kuzimia moto wala kukagua gari wala kukupa hiyo sticker Na
wananchi wake wakakubali na kunyamaza tu.
8.
Only in Tanzania hata rais hajui ni kwanini raia wake ni masikini?
Yapo
Maajabu Mengi sana Lipi nimesahau???" Ongezea Moyoni
Source: http://just90.justhost.com/
No comments:
Post a Comment