Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Waziri Benard Membe, katika picha ya pamoja na Rais Obama na Mama
Michele Obama wakati wa hafla ya Viongozi wa Nchi Wanachama za Umoja wa
Mataifa iliyoandaliwa na Mhe. Rais Barack Obama jijini New York. Mhe.
Waziri Membe yuko New York akiongoza ujumbe wa Tanzania akimuwakilisha
Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la
Umoja wa Mataifa.
No comments:
Post a Comment