Rais
Dk Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa
Kimataifa wa 'African Green Revoultion' jijini Arusha leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa
mkutano wa Kimataifa wa”African Green Revoultion mjni Arusha leo
Rais
Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo
na Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bi
Melinda Gates wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa 'African Green Revolution Forum 2012, uliofanyika jijini Arusha
leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa
Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto) pamoja
na Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates, Bibi Melinda Gates wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa” Africa Green Revolution Forum
2012,” uliofanyika katika ukumbi wa Ngurdoto mountain Lodge mjini Arusha
leo.
Baadhi
ya wajumbe na wageni waalikwa
waliohudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 'African Green Revolution Forum 2012,'
uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha leo.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment