Monday, September 24, 2012

Mwakyembe afanya ibada ya Kushukuru


 Mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II-Sugu(kulia)akitoa salaam zake kwenye ibada maalum ya shukrani iliyoandaliwa na Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe Kyela
 Mbunge wa Mbeya mjini(CHADEMA)Joseph Mbilinyi aka Mr II-Sugu(kushoto)akisalimiana kwa furaha na Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta
 Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta an Waziri Asiye na wizara maalum Profesa Mark Mwandosya(kulia)nae alikuwepo
 Mbunge wa kahama(CCM)John Lembeli(kushoto)na Mbunge wa CCM Jimbo la Mbozi Mashariki, Mheshimiwa Godfrey Weston Zambi nae alikuwepo
 Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe(mwenye suti nyeupe)akimshukuru mbunge wa mbeya mjini(Chadema)John Mbilinyi aka Mr II-Sugu kwa kushiriki kwake kwenye ibada maaalum

No comments:

Post a Comment