Shilole akiserebuka
Aunt Ezekiel we acha tu
Bongo movie wakiwa jukwaani
Haya sasa MC wa Show Baba Johnniiiie!! akifanya kazi yake na kukubalika na mashabiki hapo chini.
Mkali Lenex akifanya vitu vyake
jukwaani, hakika Serengeti Fiesta Iringa ni Bhaaaaass!!
Msanii
wa Kizazi kipya Ben Paul akifanya makamuzi yake ndani ya Uwanja wa
Samora mjini Iringa katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012
Msanii funga kazi wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akikamua
jukwaani kwa staili yake ya kidole cha mwisho juu, Tamasha la Serengeti Fiesta
2012, ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa usiku wa kuamkia leo.
Ray huyoooo akikamua
Ni
mkali mwingine kutoka Morogoro kupitia shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo
Maker akikamua vilivyo mbele ya wakazi wa mji wa Iringa wanaonelea kuingia hivi
sasa ndani ya uwanja wa samora,kutibwirika pamoja na muonekano mpya wa tamasha
la Serengeti Fiesta 2012.
Ni mkali mwingine kutoka jijini Mwanza kupitia shindano la
Serengeti Supa Nyota 2012, Young KIller akikamua vilivyo mbele ya wakazi
wa mji wa Iringa Ndani ya uwanja wa
samora,
Mkali
Stamina nae akifanya makamuzi jukwaanikatika show kali ya Serengeti
Fiesta Iringa usiku huu wa Septemba 23/24 uwanja wa Samora
Diamond akikamua jukwaani
Sheta akimchezesha Diamond
Ndani ya uwanja wa Samora Mjini Iringa
ndo kwaaaanza kumekucha katika tamasha kubwa na la aina yake ya SERENGETI
FIESTA 2012 ambapo linajiachia usiku huu hadi Bhaaaaaass!!Wameanza kupanda wasanii
chipukizi wa mjini Iringa na vitongoji vyake.
Wema nae aliimba za Diamond
Mmoja wa
wasanii chipukizi aliyeibukia kwenye shindano la Serengeti Supa Nyota
2012,kutoka Mkoani Mbeya aitwaye Ney Lee pichani akionesha kipaji chake
cha kuimba jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Samora,mkoani Iringa
ambako hivi sasa kunarindima tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Nimakamuzi ya kiutu uzima kutoka kwa Linah ambaye pia ni zao la THT.
Linah akiimba mbele ya mashabiki wake usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Iringa
Uzao wa THT, na huyu ni mwadada
machachari anaekuja kwa kasi Rachel, akipagawisha juu ya jukwaa madhubuti la SERENGETI FIESTA 2012 ndani ya uwanja wa
Samora mjini Iringa usiku wa kuamkia leo
Wadau wa Serengeti fiesta Iringa na Dar es Salaam nao wapo hapa Uwanja wa Samora Iringa kupata burudani
Subscribe to:
Posts (Atom)
No comments:
Post a Comment