Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuendesha
kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Wilson Mukama.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha
Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson
Mukama.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu
ya CCM, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Sheni na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama.
Katika Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma utangulizi, mwanzoni
wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Pius Msekwa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
akiwaslimia wajumbe wa Kamati Kuu, Mjumbe wa NEC, Uchumi na Fedha
Mwigulu Nchemba, Mjumbe wa NEC Oganaizeshenu, Asha Abdallah Juma na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, (Zanzibar Vuai Ali Vuai) kabla ya kuanza kukao
cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Kamati Kuu, Maua Daftari na Simba wakijadili jambo
taratibu, kabla ya Kikao cha kamati hiyo kuanza leo mjini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wa CCM wanaowania nafasi mbalimbali za
uongozi kwa awamu nyingine katika uchaguzi mkuu wa CCM utakaofanyika
Novemba mwaka huu, wakiwa nje ya ukumbi wakati kikao cha Kamati Kuu
kikiendelea mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Kigoma, Azim Premji, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus-Rukwa,
Wajumbe wa NEC Asha Baraka na Hkadija Kopa.Picha na Bashir Nkoromo-Dodoma
No comments:
Post a Comment