Mgombea
wa Chama cha Mapinduzi katika Jimbo la Bububu Hussein Ibrahim Makungu
(BHAA) akiwahutubia wananchi wa jimbo la Bububu kuomba kura kwao
katika mkutano wake wa ufungaji wa kampeni uliofanyika katika viwanja
vya white star jazira.
Mjumbe
wa Kamatu Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi akimtambulisha Mgombea wa CCM wa wananchi wa jimbo la bububu
wakati wa kunga kampeni za CCM katika viwanja vya white star jazira kwa
kujiandaa na uchaguzi mdoge kesho 16-9-2012.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, akiwahutubia Wana CCM katika mkutano wa kampeni ya Jimbo la
Bububu kumnadi mgombea wa CCM, katika mkutano wa ufungaji wa kampeni
hizo uliofanyika katika kiwanja cha White Star Jazira.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia katika mkutano wa kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa jimbo la Bububu.
No comments:
Post a Comment