Tuesday, September 18, 2012

FIESTA YAZIDI KUVUNJA REKODI YA MAHUDHURIO - YAFUNIKA MOROGORO


Pichani kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la Serengeti likiendelea kufanyika.
 Pichani mbele ni msanii Rich Mavoko akiliongoza kundi lake jukwaani usiku huu.
 Ommy Dimpoz pichani kati sambamba na kundi lake wakitumbuiza kwenye jukwaa la Fiesta usiku huu.
 Hapatoshi ndani ya uwanja wa jamhuri usiku,heka heka mwanzo mwisho.
 wakazi wa mji wa Morogoro walivyojitokeza kwenye tamasha la Fiesta usiku huu.

No comments:

Post a Comment