Sunday, September 16, 2012

CHADEMA UGHAIBUNI


 Mzee Makelele akimkabidhi kadi mwanachama mpya dada AZIZA.
 Brother Cobby akijiunga rasmi na Chadema.
 Dr John Lusingu akitoa mifano hai.
 Engineer Prudence akishusha madongo mazito.
 Mchungaji Mathew akimwaga sera.
 Mwenyekiti wa wanawake akiwahimiza akina mama kujiunga na M4C.
 Mwenyekiti wa Chadema-UK  Chris Lukosi akihutubia.
 Kamanda Makelele, Katibu mwenezi wa moshi mjini aki wapa nasaha viongozi wa Chadema UK.
wanachama wapya wakiwa na Makelele.Picha Zote na Chadema-Uingereza

No comments:

Post a Comment