Tuesday, September 18, 2012

SACCOS DEVELOPMENT YA WAHARIRI YAANZISWA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa wamiliki vyombo vya habari nchini (MOAT) Ndugu Reginald Mengi akimkabidhi Daniel Chongolo hati za usajili wa WAHARIRI DEVELOPMENT SACCOS kwenye hafla fupi iliyafanyika Karimjee Hall,Dar es salaam siku ya tarehe 17/9/2012
Wadau mbalimbali waliojitokeza kwenye uzinduzi wa WAHARIRI DEVELOPMENT SACCOS kwenye hafla fupi iliyafanyika pale Karimjee Hall,Dar es salaam siku ya tarehe 17/9/2012

No comments:

Post a Comment