Wakuu wa Sudan Kusini wanachunguza
sababu ya jeshi kushambulia na kuizamisha meli yao wenyewe kwenye Mto Nile.
Wanajeshi kumi walifariki na wengine
hamsini wametoweka.
Msemaji wa jeshi la Sudan Kusini,
Kanali Philip Aguer, amesema meli hiyo ilipita kituo cha ukaguzi usiku bila ya
kusimama ingawa ilitakiwa kusimama.
Alisema meli hiyo ilikuwa imebeba
wanajeshi kama 170.
No comments:
Post a Comment