Wednesday, September 19, 2012

mHESHIMIWA sTEVEN wASSIRA AWA MGENI SASMI KWENYE GWARIDE LA HERITAGE SCHOOLS










Katika pitapita kamera ya mjengwablog iliweza kunasa tukio hili kutokea mbali maeneo ya water front Dar,ambapo Mh Steven Wassira alionekana akikagua gwaride la kilichoitwa wanafunzi wa shule  za herritage
Hatukuweza kujua hasa ilikuwa ni shughuli inayohusu nini.
Mdau wa mjengwablog,Dar.

No comments:

Post a Comment