Tuesday, September 18, 2012

Kamati Maalumu Ya CCM Zanzibara Yakutana Leo


 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed

Shein,akisalimiana na kumpongeza  Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu

Mh,Hussein Ibrahim Makungu,(kulia) CCM,kwa kushinda uchaguzi mdogo wa

jimbo hilo,alipowasili  katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui

Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha  Kamati maalum ya

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.

[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dk.Amani Abeid Karume,akisalimiana na kumpongeza  Mwakilishi mpya wa

Jimbo la Bububu  Mh,Hussein Ibrahim Makungu,(kulia) CCM,kwa kushinda

uchaguzi mdogo wa jimbo hilo,alipowasili  katika viwanja vya Ofisi ya

CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha  Kamati

maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.

    [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dk.Amani Abeid Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la

Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed

Shein,(wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe

wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu

Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,kwa pamoja wakiwa wamesimama

kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri

Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo  katika ukumbi wa CCM

Kisiwandui Mjini Zanzibar.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake,

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani

Abeid Karume,wakiwa   katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini

Zanzibar,kilipofanyika kikao hicho leo.  [Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment