Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibarahim Lipumba,Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ismail Jussa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis Wafunga Rasmi Kampeni za CUF Bububu.
Mwenyekiti
wa CUF Profesa Ibarahim Lipumba akiwahutubia wafuasi wa Chama cha CUF
katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya kwa geji na
kufunga kampeni hizo kwa kujiandaa na uchaguzi kesho 16-9-2012.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ismail Jussa, akiwahutubia wanachama wa CUF katika mkutano wa kampeni viwanja vya kwa geji bububu.
Makamu
Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis akisisitiza jambo katika mkutano wa
ufungaji wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Bububu zilizofanyika
katika kiwanja cha Kwa Geji Bububu,
Wanachama
wa CUF wakishangilia katika mkutano wa kampeni katika viwanja vya Kwa
Geji Bububu, zilizofungwa na Mwenyekiti wa CUF Taifa Ibrahim Lipumba.
Mwanachama wa CUF akiwa na punda wake wakati wa mkutano wa ufungaji wa
Kampeni ya jimbo la Bububu uliofanyika katika kiwanja cha Kwa Geji
Bububu.
No comments:
Post a Comment