Monday, September 17, 2012

MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAANZA KUTIMUA VUMBI JIJINI DAR LEO

MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAANZA KUTIMUA VUMBI JIJINI DAR LEO

Bondia wa Timu ya Kimichezo Mkoa wa Ilala, Hussein Khasim akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa ya mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu.

Bondia wa Timu ya Kimichezo Mkoa wa Ilala,  Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu

No comments:

Post a Comment