Sehemu
ya maaandamano yakiwa na mabango mbalimbali kwenye sherehe ya
kumpongeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa Dk Asha
rose migiro, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia
(UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana
Aliyekua
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro akisalimiana
na baadhi ya wanachama wa UWT waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe ya
kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa
mataifa jana
baadhi
ya kinamama na wanachama wa UWT wakipita wakiwa na zawadi mbalimbali za
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro
kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa
utumishi salama umoja wa mataifa jana
Mke
wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati
wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa
aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake
Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.jana
No comments:
Post a Comment